Kila mtu na bahati yake. Tatu Mzuka ni mchezo wa bahati nasibu unaokuwezesha kushinda hadi Tsh 6,000,000 kila baada ya dakika 10. Kucheza mara moja kunakuwezesha kuingia katika Mzuka jackpot. Leo tutaangalia jinsi ya kucheza tatu mzuka kwa sababu hatua ya kwanza ili uweze kusghinda ni kucheza.

Jinsi ya kucheza tatu mzuka

1.Chagua mtandao unaotaka kutumia, vodacom, tigo au airtel

2.Ingiza menu ya mpesa, tigopesa au airtel money kama zinavyoonekana hapo chini

3. Chagua Lipia Bili kisha namba ya kampuni weka 555111

4.Kwenye namba ya kumbukumbu, ingiza namba zako Tatu za bahati kuanzia 0-9 zikifuatiwa na neno WEB, mfano 637 WEB

5.Ingiza kiasi chochote cha fedha kama dau lako. Unaweza kuweka kiasi chochote kuanzia Sh 500 hadi 30,000

6.Utapokea tiketi yako kwa njia ya SMS.

Ukishinda utapokea SMS na pesa uliyoshinda itaingizwa moja kwa moja kwenye simu yako ( Kupitia Mpesa, Tigo Pesa au Airtel Money)

Dondoo

Ili kushinda mara 200 inabidi namba zako za bahati zilingane katika mpangilio sawa na namba za ushindi toka TatuMzuka

Nadhani tumeona jinsi ya kucheza tatu mzuka kwa M Pesa na kwa TigoPesa.