BIKO ni mchezo wa kubahatisha unaokuwezesha kushinda mpaka milioni 100. Unaweza kucheza kwa MPesa, TigoPesa, na AirtelMoney. Huu ni mchezo ambao mwenye bahati ndio atashinda, ni tofauti na BikoSport, ambayo ni kwa ajili ya kubahiri matokeo ya michezo

Jinsi ya kucheza biko

1.Amua mtandao utakaotumia kati ya Vodacom,Tigo au Airtel

2.Piga menu ya mtandao wako kama inavyoonekaana katika picha chini.

3.Chagua lipa bili kisha weka namba ya kampuni 505050

4.Weka kumbukumbu ya malipo 2456

5.Weka kiasi unachotaka kuchezea (kiasi ni kuanzia 1000 kwenda juu)

Dondoo

>Kucheza mchezo huu lazima uwe juu ya umri wa miaka 18

>Kushinda kunategemea na bahati, kwa kucheza mara nyingi unajiongezea uwezekano wa kushinda