Biko Sports ni mchezo wa kubahatisha unaokuwezesha kubashiri matokeo ya mechi zinazochezwa katika ligi mbalimbali ili kukuwezesha kushinda dau nono kabisa. Biko sports ni tofauti na Biko ya kawaida. Kusoma kuhusu biko(nguvu ya buku) soma hii  >> Jinsi ya kucheza biko. Kutambua jinsi ya kucheza biko sports soma hatua zifuatazo.

Kuna namna mbili za kucheza, aidha kutumia akaunti au bila kutumia akaunti.

Kucheza bila kutumia akaunti (bila kuweka pesa kabla)
1.Kwa simu kawaida(USSD)
 1. Piga *149*89# katika simu yako
 2. Chagua namba 1 (Cheza Jackpot)  2 (Bet Mechi kali) au 3(Bet Mechi zote)
 3. Baada ya kuchagua chaguo lolote kati ya hayo. Ukichagua Cheza jackpot itatakiwa umalize kuchagua washindi wako unaowatabiria kushinda kisha nenda hatua ya 7
 4. Ukichagua Bet Mechi kali au Bet Mechi zote, utachagua mechi uanayotaka kubet
 5. Chagua aina ya bet unayotaka kuweka kama kawaida, Double chance, Both teams to score, Magoli, 1st half-kawaida na 2nd half-kawaida
 6. Baada ya hapo ukichagua kuongeza mchezo utarudia hatua ya 5. ukimaliza chagua mwisho.
 7. Weka kiasi kisha chagua kulipia kwa mtandao wako(Mpesa, Tigopesa au Airtel Money), maliza kwa kuweka namba ya siri.
2.Kucheza katika internet(website ya bikosport)
 1. Ingia http://www.bikosports.co.tz
 2. Chagua mechi kwa kuangalia sehemu ya mechi zijazo, mechi kali na kesho au tumia sehemu ya kutafuta kwa ajili ya kutafuta mechi utakayopenda kuitumia.
 3. Chagua mechi unayotaka kuiwekea odd kwa kubonyeza namba zinazoonekana mbele ya mechi. Hapa unaweza kuchagua mechi nyingi kadri upendavyo
 4. Nenda katika sehemu iliyoandikwa LIPIA(JAMVI) kisha weka kiasi katika sehemu ya Stake alafu bonyeza PLACE BET
 5. Tumia namba ya risiti kwenye tiketi ya bet kama namba ya kumbukumbu. Tumia Mpesa, Tigopesa au airtel money kulipia bet kutumia namba ya biashara ya Biko Sports 101010.
Kucheza kwa akaunti(kuweka pesa kabla katika akaunti ya biko)
Jinsi ya kuweka pesa kupitia Vodacom M-pesa
 1. Bofya *150*00#
 2. Chagua 4 Lipa kwa MPESA
 3. Chagua 4 Weka namba ya kampuni/biashara: 101010
 4. Weka Namba yako ya Account (phone number) au Receipt (kama unalipia bila account)
 5. Weka kiasi: XX,XXX/= , Na namba ya siri kumalizia
Jinsi ya kuweka pesa kupitia Tigo Pesa
 1. Bofya *150*01#
 2. Chagua 4 Lipa kwa TIGOPESA
 3. Chagua 3 Weka namba ya kampuni/biashara: 101010
 4. Weka Namba yako ya Account (phone number) au Receipt (kama unalipia bila account)
 5. Weka kiasi: XX,XXX/= , Na namba ya siri kumalizia
Jinsi ya kuweka pesa kupitia Airtel Money

Kumbuka kuwa kabla ya kubashiri ni lazima kwanza uweke kiasi cha pesa kwenye account yako ya BIKO. Zifuatazo ni hatua za kuweka pesa kwa njia ya Airtel Money:

 1. Bofya *150*60#
 2. Chagua 5 Lipa kwa Airtel Money
 3. Chagua 4 Weka namba ya kampuni/biashara: 101010
 4. Weka Namba yako ya Account (phone number) au Receipt (kama unalipia bila account
 5. Weka kiasi: XX,XXX/= , Na namba ya siri kumalizia
Jinsi ya kucheza kwa njia ya kawaida(USSD)

Utafuata hatua za kucheza kawaida kama zilizoandikwa mwanzo, ila utofauti utakuja katika hatua ya 7. Hapa utachagua lipa kwa akaunti. Utapata namba ya tiketi, kiasi utakachopata kama utashinda na kiasi ulichotumia. Pesa yako itakatwa moja kwa moja kutoka katika akaunti yako(kama uliweka kabla ya kucheza)

Jinsi ya kucheza kwa njia ya internet(website ya bikosport)

Hapa pia utafuata hatua za kucheza kwa njia hii kama zilivyooneshwa juu na ukifika hatua ya nne ya kwenda katika sehemu iliyoandikwa LIPIA(JAMVI) utachagua wallet kisha weka kiasi katika sehemu ya Stake alafu bonyeza PLACE BET

Njia hizo zinahitimisha jinsi ya kucheza biko sports kama ilivyoelezewa.

Kuwa huru kuacha maoni yako hapo chini kuhusu mchezo huu.