App ya tubemate inaweza kukurahishia swala la uhitaji wa ku-save au kudownload video yoyote ya youtube. Unaweza ku download video katika app hii kwa kufata hatua zifuatazo.

 

Download app ya tubemate katika website ya tubemate.net (App hii haipatikani katika Google Playstore)

Install app yako na kabla ya kuinstall hakikisha umeruhusu ‘apps from unknown source’

Ingia katika app hiyo ya tubemate kisha search video yoyote ya youtube unayotaka ku download(pia unaweza kuangalia kwa kutumia app hii)

Bonyeza alama ya kudownoad kama inavyoonekana katika picha hapo chini kisha chagua size ya video unayotaka(wingi wa MB unamaanisha ubora wa video unaoutaka) kisha bonyeza tena alama ya kudownload.

     
 

Video zako zitapatikana katika faili la VIDEOS katika File Manager