Jinsi gani ya kufungua account store?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Sijui unamaanisha nini haswa lakini ntajaribu kukupa jibu kwa kadri nilivyoelewa.
Kama unazungumzia kufungua akaunti ya PlayStore au Ios store kama mtumiaji yani kwa ajili ya kudownload apps games na movie basi ni rahisi. Kwa Playstore ukiwa na email ya gmail kwenye simu yakop basi na store inafunguka. Kwenye ios unaingia kwenye app store unaenda sign in una create Apple id alafu unafuata maelekezo.
Kuhusu kufungua akaunti kwa ajili ya kuweka au kuuza apps na vitu vingine link hizi apa
PlayStore – https://play.google.com/apps/publish
AppStore – https://appstoreconnect.apple.com/