Je nikiwa sina masomo matatu niliyofaulu vizuri (credit) katika elimu ya Sekondari, lakini napenda kujiunga katika fani ya uhasibu, nifanye nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.
Please briefly explain why you feel this answer should be reported.
Salim Jumbe
Kuna vyeti vingine vinavyotambuliwa na NBAA (BODI YA TAIFA YA WAHASIBU NA WAKAGUZI WA HESABU TANZANIA) : kama cheti cha NABE hatua ya II na kufaulu masomo yasiyopungua manne uliyofaulu vizuri (passes grade) pamoja na cheti cha kidato cha nne(IV).
Au Barua ya Matokeo ya Hatua ya Msingi ikionyesha kuwa umefaulu mtihani huo ambao unaendeshwa na Bodi ya Taifa ya Usimamizi wa Vifaa.
Zaidi ya hayo ni lazima uwe umemaliza elimu ya Sekondari ikionyesha masomo uliyofanya na kufaulu.