Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Jamiiforums sio ya ccm au chadema. Kwa ninavyoona mimi haifungamani na upande wowote kati ya pande tajwa. Ukiangalia moderators wa majukwaa hayo wana uwezo mkubwa wa kufuta, kurekebisha andiko lolote na hata kumfungia mtumiaji yoyote katika mtandao huo. Kama kungekua na uhusiano na moja ya pande hizo mbili ina maana waandishi wanaoandika mawazo yao yaliyoegemea upande tofauti na ule wa mtandao wangepata shida sana ikiwemo kufutwa bila sababu kufungiwa(ban) na vimbwenga vingine vingi, lakini hivyo vyote havionekani hivyo naona sio upande wowote