Internet iligunduliwa mwaka gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Ni ngumu kujibu moja kwa moja kuwa iligundulika lini kutokana na kwamba siwezi jua ni namna gani unataka jibu lako. Lakini naweza liweka hivi wazo la
kwanza kabisa kuhusu internet(kabla haijawa internet kama ilivvyo sasa) Nikola Tesla alitengeneza wireless system ya kwanza kama toy tu katika miaka ya mwanzo ya 1900.
Miaka iliyoendelea hapo internet ilizidi kupita katika vizazi tofauti tofauti na ilitumika rasmi kama innternet ya dunia yote kuanzia mwaka 1990.
Kwa Tanzania inasemekana kuwa internet ilifika au ilianza kutumiaka mnamo mwaka 1995. Na mpaka baada ya miaka mitano(5) yani mpaka mwaka 2000 ni watu 115,000 ndio waliokua wameunganishwa na internet ukilinganisha na sasa ambapo watu zaidi ya milioni 6 wanaotumia internet.
vyanzo: History.com na The Citizen tz