Inachukua muda gani fomu ya bodi ya mkopo kufunguka baada ya kulipa?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Fomu inafunguka mara tu malipo yanapokamilika. Fomu ikichelewa kidogo kufunguka, mwombaji anashauriwa kutoka na kujaribu kuingia tena (refresh) katika mtandao ili aweze kundelea na hatua zinazofuata.