Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 35238
In Process
Adv
Anonymous
Asked: February 4, 20202020-02-04T11:18:43+03:00 2020-02-04T11:18:43+03:00Hosting

Hosting bora zaidi ni ipi?

Hosting bora zaidi ni ipi?
  • 1
  • 262
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. ChuiTec

    ChuiTec

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 2 Questions
    • 13 Answers
    • 0 Best Answers
    • 46 Points
    View Profile
    ChuiTec New
    2020-05-02T09:13:36+03:00Jibu - May 2, 2020 saa 9:13 am

    Napendekeza hizi hapa

    1.BlueHost (2.95$)

    Unataka hosting nafuu zaidi na yenye ubora?. Basi Bluehost ndio jibu lako. Utalipia $2.95 kwa mwezi ambayo ni sawa na $35.4 ama Tsh 82,000 kwa mwaka.

    Faida

    1. Free domain name – ukilipia hosting unapata domain name bure kabisa
    2. Free SSL certificate – website yako itakua secure kwa kutumia hii
    3. 1 Click wordpress install – unaweza kutengeneza websie ya wordpress kiurahisi zaidi
    4. 24/7 priority support – msaada kutoka kwa wataalamu wao muda wowote
    5. Money back guarantee – kama haujaridhika utarudishiwa pesa yako(ndani ya siku 30)
    6. Inapendekezwa na wengi waliowahi kuitumia

    Host website yako na Bluehost sasa

    2.FastComet (3.45$)

    Ukihost website/blog yako kupitia FastComet utalipia $3.45 kwa mwezi ambayo ni sawa na $41.4 yaani Tsh 96,000 kwa mwaka.

    Faida

    1. Free website transfer – kama website yako ipo sehemu nyingine wanaihamisha kwao bure
    2. Free domain transfer – kama domain name yako umenunulia sehemu nyingine wataihamishia kwao bure
    3. cPanel & Softaculous – zinakupa urahisi wa kutengeneza blog/website yako hata kama hauna ujuzi wa kutosha
    4. 15GB SSD Space – nafasi kwa ajili ya kuhifadhi mafaili ya tovuti yako
    5. Free Cloudflare CDN – inasaidia kuongeza speed ya tovuti yako
    6. Daily & Weekly backups – kama tatizo litatokea mafaili yako hayatapotea
    7. 24/7 priority support – msaada kutoka kwa wataalamu wao muda wowote
    8. Money back guarantee – kama haujaridhika utarudishiwa pesa yako(ndani ya siku 45)

    Host website yako na Fastcomet sasa

    3. Namecheap (1.44$)

    Hosting nyingine inayoweza kukupa unafuu katika kazi yako ni Namecheap. Utahitajika kulipa 1.44$ kwa mwezi ikiwa ni $17.28 au Tsh 40,000 kwa mwaka. Domains zinazopatikana bure katika kifurushi hiki ni .fun .host .online .site .press .store .space .pw .tech

    Faida

    1. Free domain name – ukilipia hosting unapata domain name bure kabisa(domain names zilizotajwa hapo juu)
    2. 20GB SSD Space – nafasi kwa ajili ya kuhifadhi mafaili ya tovuti yako
    3. 3 websites – Unaweza kuhost website/blog 3

    Host website yako na Namecheap sasa

    4.DreamHost (2.59$)

    DreamHost inaweza kukamilisha ndoto yako ya kuwa online kwa kukupatia hosting nafuu inayoanzia $2.59 kwa mwezi. Hii inamaanisha ni $31.8 au Tsh 72,000 kwa mwaka wa kwanza.

    Faida

    1. Free domain name – ukilipia hosting unapata domain name bure kabisa
    2. Unlimited traffic/bandwidth – hakuna kikomo cha watu watakatembelea website/blog yako
    3. WordPress pre-install – watakusaidia ku install wordpress
    4. Free SSL certificate – website yako itakua secure kwa kutumia hii
    5. Free SSL certificate – website yako itakua secure kwa kutumia hii

    Host website yako na Dreamhost sasa

    5.Kilihost (Tsh25,000)

    Hosting ya Tanzania ya pekee katika list hii. Kilihost inakupa unafuu sana wa kuanza safari ya kuwa mtandaoni. Bei zao zinaanzia Tsh 25,ooo kwa mwaka mzima

    Faida

    1. 50MB Storage – nafasi kwa ajili ya kuhifadhi mafaili ya tovuti yako
    2. 1GB Bandwidth – hii inaamua idadi ya watumiaji watakaoingia katika tovuti yako kwa mwezi
    3. DNS and Advanced DNS Manager – Unaweza kuwa na domain name kwao na hosting sehemu nyingine kiurahisi

    Host website yako na Kilihost sasa

    Mwisho kabisa ni vyema ukawa makini sana katika kuchagua kampuni ya kuhost kwa ajili ya blog au website yako. Kama bado una maswali ama unahitaji muongozo katika kuchagua ama kujiunga na moja ya hosting Chat na mimi sasa

     

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Maswali yanayoendana

    • Unaizungumziaje Bluehost katika kutengeneza website?

    • Kuna hosting za bure?

    • Kampuni gani ya hosting ni nzuri Tanzania?

    Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.