Hivi msichana anaempenda kijana ambae kashaoa mke anakua anataka nini hasa na kama kukataliwa amekataliwa sana lakinn bado king’ang’anizi, anataka nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Jose Mandingo
Anaweza kutaka vitu vingi
Mfano anaweza kuwa anampenda kijana kweli na kama unavyojua mapenzi hayazuiliki. Kitu kingine anachoweza kutaka labda ni pesa au matunzo kutoka kwako au hata mapenzi(namaanisha sex kutoka kwako)
Kama unaona anakusumbua na ukizingatia umeshaoa nakushauri hakikisha hakupati, hapati nafasi ya kuonana na wewe, hawasiliani na wewe, piga block kama uko siriaz usimfatilie popote hata facebook insta. Af mwisho usisahau kumpenda na kumwaonesha mke wako kama unampenda