Jiunge

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Unayo account ? Log In

Unayo account ? Log in

Log In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Jiunge Hapa

Umesahau Password?

Hauna Account, Jiunge Hapa

Umesahau Password

Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.

Unayo account ? Log in

Tafadhali andika jina lako kamili.

Tafadhali andika E-Mail yako.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Uliza Swali
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Maswali»Q 48383
In Process
Adv
dj mbu
Asked: October 26, 20202020-10-26T13:06:33+03:00 2020-10-26T13:06:33+03:00

Hivi msichana anaempenda kijana ambae kashaoa mke anakua anataka nini hasa na kama kukataliwa amekataliwa sana lakinn bado king’ang’anizi, anataka nini?

Hivi msichana anaempenda kijana ambae kashaoa mke anakua anataka nini hasa na kama kukataliwa amekataliwa sana lakinn bado king’ang’anizi, anataka nini?
  • 1
  • 164
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Jibu
  • Report
Adv

Jibu 1

  • Kura
  • Zamani
  • Mpya
  1. Jose Mandingo

    Jose Mandingo

    • Dar es Salaam, Tanzania
    • 0 Questions
    • 33 Answers
    • 0 Best Answers
    • 175 Points
    View Profile
    Jose Mandingo Advanced
    2020-10-28T07:42:11+03:00Jibu - October 28, 2020 saa 7:42 am

    Anaweza kutaka vitu vingi

    Mfano anaweza kuwa anampenda kijana kweli na kama unavyojua mapenzi hayazuiliki. Kitu kingine anachoweza kutaka labda ni pesa au matunzo kutoka kwako au hata mapenzi(namaanisha sex kutoka kwako)

    Kama unaona anakusumbua na ukizingatia umeshaoa nakushauri hakikisha hakupati, hapati nafasi ya kuonana na  wewe, hawasiliani na wewe, piga block kama uko siriaz usimfatilie popote hata facebook insta. Af mwisho usisahau kumpenda na kumwaonesha mke wako kama unampenda

    • 0
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Jibu swali hili

Jibu swali hili
Cancel reply

Chagua
Captcha Click on image to update the captcha.

Adv

Sidebar

Uliza Swali

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.