JE UNAPENDA KUDOWNLOAD VIDEO NA PICHA ZA INSTAGRAM(INSTAGRAM DOWNLOAD) KUPITIA SIMU YAKO YA ANDROID?

Ni ukweli kwamba inachosha na pia ni usumbufu kupiga picha au kurekodi screen ya simu yako kwa ajili ya kusave kile ulichokiona katika ukurasa wako wa instagram, kurekodi au kupiga picha screen ya simu yako picha au video inapungua ubora wake na kupoteza mvuto wake wa asili. Lakini kwa kujali umuhimu wako MOJASKY tumekuandikia makala hii na kwa kufuata hatua chache unaweza kufahamu jinsi ya kuchukua video instagram.
 • FUNGUA PLAY STORE
 • TAFUTA INSTA DOWNLOAD-VIDEO & PHOTO(INSTAGRAM DOWNLOADER)
 • INSTALL INSTA DOWNLOAD-VIDEO & PHOTO KATIKA SIMU YAKO
 • SASA FUNGUA INSTAGRAM YAKO KAWAIDA
 • TAFUTA PICHA AU VIDEO UNAYOTAKA KUDOWNLOAD
 • ANGALIA CHINI/JUU PEMBENI YA PICHA AU VIDEO YAKO UTAONA MENU
 • CLICK KWENYE HIYO MENU UTAONA “COPY SHARE URL” AU “COPY LINK”
 • FUNGA INSTAGRAM YAKO
 • FUNGUA INSTA DOWNLOAD-VIDEO & PHOTO
 • CLICK PASTE
 • CLICK SAVE IMAGE AU SAVE VIDEO
 • KISHA CLICK DOWNLOAD
 • SASA UNAFAHAMU JINSI YA KUCHUKUA VIDEO INSTAGRAM.