Google inajuaje vitu vingi kiasi hicho?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Rickyllobbe
Google sio kwamba inajua vitu vingi ila ni kwamba Google ni Search Engine.Search Engine ni mpango ambao hutafuta na kubaini vitu katika database ambayo inalingana na maneno au herufi zilizoainishwa na mtumiaji, inayotumiwa haswa kutafuta tovuti fulani kwenye Wavuti