Gharama za utalii Tanzania ziko vipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Flora Jumanne
Tozo za utalii kwa raia wa Afrika Mashariki kwa mtu mmoja kwa siku
A. Tozo ya uhifadhi kwa Hifadhi za Serengeti, Kilimanjaro, Gombe,
Arusha, Tarangire and Ziwa Manyara
a) Miaka 16 na zaidi 10,000
b) Miaka kati ya 5 na miaka 15 2,000
c) Miaka chini ya 5 Bure
B. Tozo ya uhifadhi kwa Hifadhi za Katavi, Mikumi, Ruaha, Rubondo,
Saadani, Kitulo, Mahale, Mkomazi Udzungwa na Saanane
a) Miaka 16 na zaidi 5,000
b) Miaka kati ya 5 na miaka 15 2,000
c) Miaka chini ya 5 Bure
C. Tozo za magari yenye usajili wa Tanzania na ya EAC yenye usajil binafsi
a) Yenye uzito usiopungua kilo 2000 20,000
b) Yenye uzito kati ya kilo 2001 na 3000 35,000
c) Yenye uzito kati ya kilo 3001 na 7000 60,000
d) Yenye uzito kati ya kilo 7001 hadi 10,000 150,000
e) Magari ya wazi yatalipiwa ada ya kawaida na nyongeza ya asilimia 50%
D. Ada ya mwaka kwa Magari / Tela / Boti / Ndege zisizokuwa za kibiashara zinazokaa Hifadhini
a) Yenye uzito usiozidi kilo 2000 50,000
b) Yenye uzito kati ya kilo 2001 na 7000 100,000
c) Yenye uzito kati ya kilo 7001 hadi 10000 200,000
d) Trekta, tela na boti 50,000
e) Ndege 200,000
E. Tozo za kambi za Jumuiya (Public) Hifadhi zote isipokuwa Kilimanjaro
a) Miaka 16 na zaidi 5,000
b) Miaka kati ya 5 na miaka 15 2,500
c) Miaka chini ya 5 Bure
F. Tozo za kambi maalum (Special) Hifadhi zote isipokuwa Kilimanjaro
a) Miaka 16 na zaidi 10,000
b) Miaka kati ya 5 na miaka 15 5,000
c) Miaka chini ya 5 Bure
G. Tozo za kambi za jumuiya (Public) Kilimanjaro
a) Miaka 16 na zaidi 10,000
b) Miaka kati ya 5 na miaka 15 5,000
c) Miaka chini ya 5 Bure
H. Tozo za kambi za msimu (Seasonal)
a) Miaka 16 na zaidi 15,000
b) Miaka kati ya 5 na miaka 15 7,500
c) Miaka chini ya 5 Bure
I. Tozo za kambi za kuhamahama (Fly Camping) 5,000
J. Tozo ya waongoza wageni/Huduma ya askari mwenye silaha (kwa kundi)
a) Mlima Meru 10,000
b) Hifadhi zote isipokuwa Kilimanjaro 5,000
K. Tozo ya Utalii wa matembezi Hifadhini
a) Matembezi ya muda mfupi hadi masaa 4 kwa watu wazima 5,000
b) Matembezi ya muda mfupi kwa watoto miaka 12 na zaidi 2,500
c) Matembezi ya muda mrefu zaidi ya masaa 4 kwa watu wazima 10,000
d) Matembezi ya muda mrefu kwa watoto wa miaka 12 na zaidi 5,000
L. Uvuvi wa kitalii kwa kutumia ndoana (Sport Fishing)
(Gombe, Mahale, Saadani, na Rubondo) kuanzia saa 1 hadi 11 jioni
a) Miaka 16 na zaidi 10,000
b) Kati ya miaka 5 na miaka 15 5,000
c) Kukodisha Ndoana (fishing rod) 10,000
M. Uvuvi wa kitalii kwa kutumia ndoana (Sport Fishing)
(Maalumu kwa Saanane) kuanzia saa 1 hadi 11 jioni
a) Miaka 16 na zaidi 10,000
b) Kati ya miaka 5 na chini ya miaka 16 50,000
c) Kukodisha Ndoana kwa masaa 2 20,000
d) Kukodisha Mtubwi kwa masaa 2 100,000
N. Tozo ya Boti (Maalumu kwa Saanane)
a) Kukodisha boti kwa saa 1 200,000
b) Kukodisha boti kwa nusu saa 100,000
c) Kukodisha boti Kwenda na Kurudi 35,000
O. Kukodi boti Rubondo: Kutoka Mgaza 100,000
Kutoka Nkome 300,000
P. Tozo za malazi (mawasiliano na Hifadhi yafanyike kabla)
a) Mlima Kilimanjaro: Mabanda ya Mandara, Horombo na Kibo
i) Miaka 16 na zaidi 5000
ii) Kati ya miaka 5 na miaka 15 2500
b) Mlima Meru: Miriakamba na Saddle
i) Miaka 16 na zaidi 5000
ii) Kati ya miaka 5 na miaka 15 2500
c) Mabanda ya zamani Manyara na Ruaha 15,000
d) Hosteli; Kilimanjaro,Manyara, Serengeti, Mikumi, Ruaha na Gombe 5,000
e) Nyumba ya kupumzikia wageni Serengeti, Tarangire, Ruaha, na Katavi 20,000
f) Nyumba ya kupumzikia wageni Udzungwa na Saadani 30,000
g) Nyumba ya kupumzikia wageni Gombe 10,000
h) Mabanda ya Mahale 20,000
i) Nyumba ya kupumzikia wageni Mikumi (kwa mtu mmoja) 30,000 (kwa watu wawili)40,000
j) Nyumba ya kupumzikia wageni (Cottages) Ruaha (B&B)Familia-Wakubwa
wawili na watoto wawili 50,000
Chumba chenye sebule (kwa mtu mmoja) 35,000
Chumba kisicho na sebule (kwa mtu mmoja) 25,000
k) Nyumba ya kupumzika wageni Arusha 15,000
l) Nyumba ya kupumzika wageni na mahema Rubondo (Mtu mzima) 25,000
(Mtoto) 15,000
TShs
m) Kulala kwenye hema Saadani (Mtu mzima) 20,000
(Mtoto) 10,000
n) Tozo za malazi kwenye kambi hifadhi ya Gombe
i) Kasekela luxury tented camp (shared 2 pax per tent 40,000
ii) Kasekela Luxury Tented Camp (Suit) 50,000
iii) Jane Googall Memorial House 10,000
Q. Tozo ya Uokoaji Mlima Kilimanjaro na Meru 2,000
R. Kupiga makasia (Arusha na Ziwa Manyara)
a) Kwa watu wazima 5,000
b) Kwa watoto kuanzia miaka 7 2,000
S. Tozo ya Utalii wa kupiga makasia hadi masaa 3 (Mahale na Rubondo) kwa kila mtu 5,000
T. Tozo ya utalii wa usiku
a) Kwa watu wazima 10,000
b) Kwa watoto kuanzia miaka 7 5,000
U. Tozo ya kutua ndege za kigeni
a) Hadi watu 4 50 120
b) Kati ya watu 5-12 120 170
c Zaidi ya watu 13 170 320
V. Tozo ya kutua ndege za Tanzania:
a) Hadi watu 4 10,000 15,000
b) Kati ya watu 5-12 15,000 20,000
c) Kati ya watu 13-20 20,000 35,000
d) Zaidi ya watu 20 50,000 60,000
W. Tozo ya kupiga Picha za kibiashara (filming)
a) Serengeti US$ 300
b) Gombe US$ 180
c) Mahale US$ 100
d) Hifadhi nyingine US$ 250
Tozo hizi zinajumuisha kiingilio kupiga mahema, na kupiga picha katika hifadhi zote
X. Tozo ya kupiga Picha za Video kwa kundi la watu 2-20 tofauti na tozo za uhifadhi
a)Tozo za kipiga picha za Video hifadhini TShs 100,000
b)Tozo za kipiga picha za Video kwenye bustani za TANAPA makao makuu TShs 100,000
Eneo na muda wa kupiga picha za video vitaratibiwa na hifadhi husika
Y. Utalii wa baiskeli: Arusha, Kilimanjaro na hifadhi nyingine husika TShs 30,000
Z. Utalii wa kupanda kilele cha mawenzi (Mawenzi peak Technical Climbing) TShs 100,000
AA. Tozo za kuruka na parachuti (Paragliding)TShs 100,000
BB. Tozo za kuteleza kwenye maji (Snorkeling ) kwa saa 3 kwa hifadhi zote husika TShs 10,000
CC. Tozo ya watoa huduma watanzania (crew) kwa siku, Hifadhi za Serengeti,
Arusha, Tarangire, na Ziwa Manyara. Hii ni kwa ajili ya waongoza wageni,
wapagazi na wapishi (Onyesha kitambulisho). Hii inajumuisha gharama za
uhifadhi TZS 1500 na gharama ya kambi/banda TZS 2000 TShs 3,500
TShs
Ki-binafsi US$
Ki-binafsi TShs
Ki-biashara US$
Ki-biashara TShs
DD. Tozo kwa watoa huduma watanzania kwa siku Hifadhi za Saadani,
Mikumi, Mkomazi, Udzungwa, Kitulo, Ruaha, Katavi, Rubondo, Gombe, Saanane
na Mahale (Onyesha kitambulisho husika). Hii inahusisha gharama ya
uhifadhi Tshs 1,000 na gharama ya kambi TZS 2,000) TShs 3,000
EE. Tozo ya Utalii wa kula Chakula porini TShs 5,000
FF. Safari za Mtumbwi au boti kwa Mahale, Rubondo, Gombe na Saadani) TShs 10,000
GG. Tozo za watoa huduma kilimanjaro kwa kila safari US$ 2
HH. Kukodi mitumbwi / magari gharama ya mafuta ongeza 40%
II. Tozo za wanafunzi raia wa Jumuia ya Afrika Mashariki kutoka shule za msingi, sekondari na
vyuo vilivyosajiliwa
i) Tozo za uhifadhi kwa shule za msingi na sekondari TShs 2,000
ii) Tozo za uhifadhi kwa vyuo TShs 5,000
iii) Tozo za kambi za jumuia kwa shule za msingi na sekondari TShs 2,000
vi) Tozo za kambi za jumuia kwa vyuo TShs 3,000
v) Tozo za malazi kwenye hosteli na mabanda ya mlima Meru na Kilimanjaro TShs 5,000
JJ, Tozo ya wasafiri wapitao hifadhini kwa usafiri wa kawaida (public Transport). TShs 2,000
KK. Tozo ya wasafiri wapitao hifadhini kwa usafiri binafsi.
a) Watu wazima TShs 5,000
b) Watoto TShs 2,000
LL. Faini kwa magari (aina zote) yanayosababisha au kupata ajali TShs 200,000
MM. Faini ya mwendo kasi (magari yote) TShs 50,000
Muhimu
Magari binafsi yote hayaruhusiwi kufanya biashara yeyote ya utalii ndani ya hifadhi.
★ Magari yenye uzito zaidi ya tani 10 hayaruhusiwi kupita hifadhini isipokuwa kwa idhini ya Mkurugenzi
Mkuu
★ Tozo hizi ni kwa kuingia wakati mmoja ukitoka utapaswa kulipa tena wakati urudipo
★ Kibali kinadumu kwa saa 24 katika wakati mmoja
★ Onyesha kitambulisho wakati wa kuingia
★ Raia wa Afrika Mashariki ni raia wa Tanzania, Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na Sudani Kusini.
★ Raia wasio wa Tanzania waonyesha hati ya kusafiria langoni
★ Utaratibu wa kuomba kibari kwenda kutalii hifadhini kwa shule na vyuo haupo tena
★ Endapo wanafunzi au wanachuo watahitaji huduma ya hosteli mawasiliano na hifadhi husika yafanyike
kabla
★ Kwa hifadhi ya Taifa Rubondo uwezo wa boti iliyopo sasa ni abiria 12
★ Pesa ikilipwa haitarejeshwa
★ Ifahamike kuwa:
Tozo zilizotajwa hazina kodi ya ongezeko la thamani yaani VAT.
VAT ni 18% na ni kwa mujibu wa sheria.
Nukuu kutoka katika tovuti ya Hifadhi za Taifa