Forex ni biashara gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Mugabe Abraham
FOREX ni ufupisho wa FOReign EXchange, hii ni biashara inayodili na ubadilishaji wa fedha za kigeni, na pia kuna bidhaa mbalimbali kama vile sarafu za nchi mbalimbali na madini kama Dhahabu na silver pamoja na mafuta. Unaweza ukanunua au ukauza Euro(EUR dhidi ya Dolla ya Canada(CAD).>>EURCAD.