Facebook ilianza mwaka gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Februari 2004
Katika eneo linaloitwa Cambridge, Massachusetts nchini Marekani na kundi la wanafunzi walioongozwa na Mark Zuckerberg ambaye kwa sasa ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.
Hata hivyo ilipita miaka miwili kabla ya Facebook kutumika na watu wote(yani kuwa wazi kwa kila mmoja sababu mwanzo ilikua ni kwa ajili ya vyuo kadhaa). Kwa hiyo Septemba 23 2006 Facebook ilianza kutumika sehemu zote