Sign Up

Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Have an account? Sign In

Have an account? Sign In Now

Sign In

Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection

Sign Up Here

Forgot Password?

Don't have account, Sign Up Here

Forgot Password

Lost your password? Please enter your email address. You will receive a link and will create a new password via email.

Have an account? Sign In Now

Please type your username.

Please type your E-Mail.

Please choose an appropriate title for the question so it can be answered easily.

Please briefly explain why you feel this answer should be reported.

Sign InSign Up

1Sky

1Sky

1Sky Navigation

  • Blog
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App

Mobile menu

Close
Ask a Question
  • Home
  • Maswali
  • Points
  • Miongozo
  • Wasiliana Nasi
  • Advanced Search
  • App
Home» Questions»Q 34620
In Process
Adv
Anonymous
Asked: January 14, 20202020-01-14T09:41:12+03:00 2020-01-14T09:41:12+03:00In: Uislamu

Dini ya Uislamu ilikuwepo tangu mwanzo wa dunia au ililetwa na Mtume Muhammad (S.A.W)?

Dini ya Uislamu ilikuwepo tangu mwanzo wa dunia au ililetwa na Mtume Muhammad (S.A.W)?
  • 1
  • 468
  • 0
  • Share
    • Share on WhatsApp
    • Share on Facebook
    • Share on Twitter
Answer
  • Report
Adv

1 Answer

  • Voted
  • Oldest
  • Recent
  1. Anonymous
    2020-01-14T09:43:25+03:00Added an answer on January 14, 2020 at 9:43 am
    This answer was edited.

    “…Salamu(amani) juu yenu. Naomba watu wafahamu ya kuwa uislamu si dini iliyopewa jina na muasisi fulani na kusema kuwa wafuasi wake waitwe waislamu, la hasha, bali Uislamu jina hili ukilitafsiri kwa lugha ya kiswahili ni amani, kujisalimisha, kunyenyekea ndiyo maana yake.

     

    Mtume Muhammad (S.A.W) si muanzilishi wa dini hii, na emeeleza wazi kuwa uislamu upo yaani (kujisalimisha kwa Mungu) toka kuumbwa kwa ulimwengu. Allah aliumba ulimwengu ili vitu vyote vimtii na kujisalimisha kwake, lakini viumbe hawa wawili (majini na watu) walipewa khiari na matamanio, na huo ndiyo mtihani wenyewe tulioumbiwa nao, ambao watu tunaelekezana, kuelimishana, kujadiliana, kuzozana mpaka tunafikia hata kugombana na kutoana roho katika mambo hayo.

     

    Ni kwamba watu walioishi mwanzo walikuwa na mfumo wao wa maisha walipewa muongozo wa kuishi na Muumba kwa kuwapelekea mjumbe kutoka kwake, hivyo basi kutokana na vitabu vya dini havipingani kabisa kuwa Adam na Hawa(Eva) walipewa muongozo na Allah na kuambiwa wasiukaribie mtu huo walioukatazwa, kwa kuwa walikuwa na khiari na matamanio ndiyo yaliyowafanya walikhalifu amri hiyo na kutokea yaliyotokea kwa kuwa walikuwa wanyenyekevu wakaomba msamaha na hatimaye wakasamehewa, siyo kama Ibilisi(Shetani) ambaye hakuwa mnyenyekevu na kuangamia.

     

    Watu wasifikirie Uislamu ni dini ya Muahammad (S.A.W) na kwa ajili ya waarabu tu, hapan kwani tukisoma historia ya kiislamu tunamkuta Bilal (R.A) muadhini wa mtume ambaye alikuwa muahabesh(muafrika), tunamsoma Salman Farsi (R.A) ambaye ni mfarsi(Muiran), kuna wakina Bukhari watu kutoka sehemu za Urusi na Mayahudi wengi tu waliosilimu. Mtume alilingania dini hii kwa wafalme wengi tu wa pande za ulimwengu. Kwa hiyo Uislamu ulikuwepo kutoka kuumbwa kwa dunia na mpaka mwisho wake.

     

    Dini nyingine huenda zilikuwa ni za usahihi kutoka kwa Allah ila baada ya kupita muda baadhi ya watu waliharibu dini hizo ikiwa kwa ujinga au maslahi yao binafsi. Ikiwa Allah kaumba ulimwengu na vilivyomo ndani yake hivyo hahitaji chochote kutoka kwetu, isipokuwa unyenyekevu wetu tu, na huo ndiyo Uislamu wenyewe, na kitu kikubwa ni kumpwekesha yeye tu bila ya kumfanyia ushirika. Na huo ndiyo ulikuwa ujumbe wa mitume wa Mungu.

     

    Uislamu si jina la mtu au mahala au kitu bali ni kitendo cha mtu kujisalimisha, kunyenyekea kwa Muumba na haikuanzishwa na mtu bali ni mfumo wa Allah aliouweka kwa waja wake ambao wanataka kufaulu duniani na akhera. Shukrani…”

    • -1
    • Reply
    • Share
      Share
      • Share on WhatsApp
      • Share on Facebook
      • Share on Twitter
      • Report
Leave an answer

Leave an answer
Cancel reply

Browse

Adv

Sidebar

Promo

  • Usihangaike tena, Tumekuwekea Kampuni zote za kubet katika app moja! Jaribu Sasa

  • Beti kwa mara ya kwanza, ukishindwa unarudishiwa hela yako

  • Tafuta Ajira kiurahisi. Jaribu Sasa

  • Jifunze jinsi ya kubet kibingwa

  • Explore

    • Home
    • Maswali
    • Polls
    • Points
    • Watumiaji
    • Miongozo
    • App

    MojaSky | Designed by ChuiTec.

    Insert/edit link

    Enter the destination URL

    Or link to existing content

      No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.