CV ya Paul Makonda inafananaje?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Salma Aman
Paul Makonda
Amezaliwa tarehe 15 Februari 1982 katika kijiji cha Kolomije mkoani Mwanza.
Amesoma Shule ya Msingi Kolomije, Amepata elimu ya sekondari katika shule inayoitwa Lake Secondary School. Baada ya hapo alijiunga na chuo Mbegani Fishery College kwa ngazi ya cheti na diploma. Ana shahada ya kwanza kutoka chuo cha Ushirika Moshi.
Tarehe 13 Machi 2016 aliteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam. Kabla ya hapo alikuwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni.