Chuo cha Madini Dodoma kipo vipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Calvin Mlay
Chuo cha madini dodoma(MRI) kipo vizuri, chuo hiki kina sifa kubwa sana katika kutoa wataalamu wengi wanaofanya vizuri katika sehemu zao za kazi, na kinasifika zaidi kwa kufanya mafunzo yake kwa vitendo. Ni chuo pekee katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kinachotoa stashahada na astashahada katika sekta ya madini pamoja na petroleum.
Chuo kipo miyuji Dodoma mjini karibu na chuo cha Mipango katika njia inayoelekea kambi ya jeshi ya Makutupora.
Kusoma zaidi kuhusu chuo cha Madini soma hapa chini
Chuo cha Madini Dodoma – Mineral Resource Institute ( MRI- Dodoma )