App ya kutengeneza matangazo kwenye simu ya android ni ipi?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Kuna app inaitwa Canva ipo Playstore na app store nyigine, pia unaweza kutumia canva kwa kuingia tu kwenye google ukasearch canva au http://www.canva.com.
Hii app ni rahisi sana kwa kompyuta au simu ukishafungua akaunti unakuta template za design unaedit maandishi na picha kama unataka alafu tangazo linakua tayari.