Android ni nini?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Faustine John
ANDROID NI NINI?
Android ni kifurushi cha programu na mfumo wa uendeshaji ambao uliotokana na kodi za linux ambazo ni open source kwa ajili ya simu kama smartphones na tablets
Android ilitengenezwa na kampuni ya google na kuwa inatumika kuanzia 2008 na baadae ikawa inatengenezwa na mfumo wa OHA(OPEN HANDSET ALLIANCE) ambayo ni muunganiko wa kampuni 84 ikiwepo GOOGLE,AKM,SAMSUNG,SYNAPTICS,KDDI,GARMIN,TELECA,EBAY,INTEL na badhi nyinginezo lakini GOOGLE akiwa kiongozi.
Android imetengenezwa na kodi za JAVA hususani katika sehemu ya UI maana ya USER INTERFACE yaani muonekano kwa kiswhaili lakini kodi mama za android ni zaC na C++ na baadhi ya nyingine za ziada
Android ina mpangalio wake zinakwenda kwa kufuata majina na number maalum ambazo hupewa na watengenezaji wake kuanzia cupacake, eclair, donut, froyo, Jelly Bean, Kitkat, Lollipop, marshmallow na mpaka sasa … endelea kusoma