Ada ya chuo kwenye course ya human resources management ni kiasi gani?
Jiunge MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Login MojaSky ili uweze kuuliza maswali, kujibu maswali ya watu wengine na kutengeneza connection
Umesahau password yako?. Andika email yako hapo chini alafu bonyeza 'Reset'. Utapokea link katika email yako kwa ajili ya kutengeneza password mpya.
Please briefly explain why you feel this question should be reported.
Tafadhali elezea kwa nini unahisi chapisho hili linapaswa kuripotiwa
Please briefly explain why you feel this user should be reported.
Ada ya human resource management inategemeana na chuo husika, ili kujua ada angalia kwenye website ya chuo unachokitaka au kama houni sehemu ya ada basi piga simu katika namba walizotaja katika website yao, mara nyingi namba za simu zinakuwaga chini kabisa kwenye website au kwenye sehemu ya contact us